Picha za Harmonize na Ruby, walivyoukamilisha usiku wa April 30 na Burudani Geita…
Usiku wa April 30, 2016 watu wangu wa Geita nao wameukamilisha mwenzi kwa kutazama burudani ya nguvu kutoka kwa mastaa wawili kutokea WCB Harmonize na nyumba ya vipaji THT Ruby wa hits single ya Forever na nyingine,Burudani imedondoshwa kwenye ukumbi wa Ambassador pale Geita hapa ninazo picha za tukio nakualika kuzitazama

Picha za Harmonize na Ruby, walivyoukamilisha usiku wa April 30 na Burudani Geita…
Reviewed by liluo
on
4:40:00 AM
Rating:

No comments: