R.I.P Kinyambe, Msiba: Tasnia ya Filamu Tanzania imepata msiba wa mchekeshaji KINYAMBE.

May 12 2016 ripoti zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwa baadhi ya mastaa wa filamu na Muziki nchini, kuhusiana nataarifa ya kufariki kwa mmoja kati ya wachekeshaji maarufu nchini Tanzania,  Mohammed Abdallah  (Kinyambe) kutoka kwenye maigizo ya Vituko Show.



Innalilah wainna ilaihi rajiun mbele yake nyuma yetu kazi yake mola haina makosa mola akueke panapo stahili ndugu yetu Amin #kinyambe wasanii wenzangu rafiki zangu dunia na #dini dunia mapito #DUNIAMALIYAMUNGU BINADAMU #PUMZITU (TUPENDANDE TUHESHIMIANE) MUNGU NDIO KILA KITU ........ 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
R.I.P Kinyambe, Msiba: Tasnia ya Filamu Tanzania imepata msiba wa mchekeshaji KINYAMBE. R.I.P Kinyambe, Msiba: Tasnia ya Filamu Tanzania imepata msiba wa mchekeshaji KINYAMBE. Reviewed by liluo on 12:07:00 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.