Diamond adai ngoma aliyomshirikisha Raymond ni moto wa kuotea mbali
Diamond Platnumz ameendelea kuwapa kipaumbele wasanii walio chini ya label yake ya WCB ambao ni pamoja na Harmonize, Raymond, Rich Mavoko na dada yake Queen Darleen.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, staa huyo amethibitisha kuwa kuna kolabo inakuja kati yake na Raymond ambayo anadai anaipenda zaidi.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, staa huyo amethibitisha kuwa kuna kolabo inakuja kati yake na Raymond ambayo anadai anaipenda zaidi.
diamondplatnumzClick the link in @rayvanny ‘s BIO to Download his brand new Track #NATAFUTAKIKI …BTW, Ukiacha Collabo nlizofanya nje….. nafkiri Ngoma nilomshirikisha @rayvanny ndio inatawala sana kwenye Speaker za Gari yangu!
jiluo.blogspot.com ....Fred Nyagambwa@facebook.com
Diamond adai ngoma aliyomshirikisha Raymond ni moto wa kuotea mbali
Reviewed by liluo
on
3:55:00 AM
Rating:
No comments: