Hatimae Mwana FA kaoa, sahau bado niponipo
‘Bado Niponipo’ ni moja ya nyimbo zake kubwa kuwahi kutokea pia katika bongofleva ambayo ilibebwa na swali kubwa la MwanaFA unaoa lini? sasa jibu lenyewe ndio limepatikana leo June 5 2016.
Picha kutoka Millard Ayo.com
Hatimae Mwana FA kaoa, sahau bado niponipo
Reviewed by liluo
on
2:17:00 PM
Rating:
No comments: