Mtazame Ben Pol kwenye stage moja na Mama yake Mzazi
Miaka 10 ya Christian Bella ilisindikizwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali kutoka Bongoflevani, Mrembo Maua Sama, Legendary Dully Sykes na bila kumsahau Ben Pol ambapo usiku ule aliweza kumtambulisha Mama yake Mzazi kwenye stage.
Mtazame Ben Pol kwenye stage moja na Mama yake Mzazi
Reviewed by liluo
on
3:15:00 AM
Rating:
No comments: